Samuel Etoo amegoma kusaini ajira ya kocha mpya Marc Brys, ambaye ameajiriwa na wizara ya michezo lakini Etoo hajaidhinisha ajira hiyo

Etoo aliwapendekeza makocha Herve Renard, Jose Peseiro au Fabio Canavvaro, wizara iliwakataa wote kwa kigezo cha gharama.

Tayari Marc Brys ameanza kazi na ameshakutana na wachezaji wote akiwaelekeza kuhusu falsafa yake na mipango yake kwao,

Wizara ya michezo na uongozi wa Fecafoot watakutana Mei 7 kujadili utata huu

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement