Rais Wa Caf Patrice Motsepe Athibitisha Kuwepo Kwa Usalama Mkubwa Kwenye Mechi Za Afcon
Patrice motsepe 🗣
"Kuna kiwango kikubwa sana cha umakini kwa sababu usalama wa watazamaji wetu ni muhimu," Motsepe".
"Familia zinapokuja kutazama mechi ya mpira wa miguu zinapaswa kutambua kabisa kwamba Caf pamoja na na washirika wetu tumefanya kila linalowezekana kulingana na njia bora za kimataifa ili kuhakikisha kuwa vifaa na miundombinu ni salama".
"Kabla ya AFCON 2023 kuanza kutakua na Mechi mbili za majaribio na zitafanyika katika Uwanja wa Felix Houphouet Boigny mjini Abidjan wakati Ivory Coast itakapokaribisha mechi za kirafiki dhidi ya Morocco Jumamosi na Afrika Kusini siku ya Jumanne".