Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea zawadi ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika zawadi yake ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu mara baada ya kupewa na Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement