Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. 

Katika Mazungumzo hayo Rais wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia pia ameshiriki


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement