Kweli mchezo wa soka hautabiriki! Licha ya FC Barcelona kupewa nafasi kubwa ya kushinda lakini imeambulia kipigo cha magoli 4-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza FC Barcelona ilishinda magoli 3-2

Robo Fainali nyingine, Borrusia Dortmund imefanya kile ambacho hakikutegemewa na wengi, imeshinda magoli 4-2 dhidi ya Atletico de Madrid, hivyo kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 5-4

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement