“Mechi yoyote ikihusishwa Pamba inaonekana ni mechi kubwa, kikubwa tunacheza na timu yoyote kwasababu sisi tuna malengo ya kupada ligi kuu, wana Pamba wote tunahitaji alama tatu na sio kwenye mechi ya biashara tuu bali ni kila mchezo tunahitaji alama tatu” Moses William Afisa Habari

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement