Nyota wa tennis COCO GALF amefungua uwanja wake huko DELRAY BEACH FLORIDA nchini Marekani kama sehemu ya kutengenezea vijana wapya wa tennis ,uwanja huo utatumika pia kwenye mashindano mbalimbali tennis nchini Marekani.

Galf alianza maisha yake ya Tennis kwenye beach hiyo na baada ya kushinda ubingwa wa US OPEN mwaka 2023 alijitolea kurekebisha viwanja vyote viilivyopo kwenye beach hizo pamoja na viwanja vingine nchini Marekani ili waweze kutengeneza vijana wengine wapya.

Galfu ni bingwa wa US OPEN lakini pia alifanikiwa kucheza fainali ya French Open mwaka 2022 na kushika nafasi ya 1 kwenye kwenye orodha ya wachezaji bora wa Tennis kwa upande wa wanawake mwaka 2022 na sasa anashika nafasi ya saba kwa ubora duniani.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement