NUSU fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB bank Federation Cup) kati ya Wananchi, Young Africans Sc dhidi ya Ihefu Fc (Singida Black Stars) itapigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha tarehe 19, Mei 2024.

Nusu fainali nyingine kati ya Wanalambalamba, Azam Fc dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union itapigwa katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza tarehe 18, Mei 2024.

Ihefu Fc vs Yanga SC: Sheikh Amri Abeid, Arusha Mei 19, 2024 Saa 9:30 alasiri

Coastal Union vs Azam Fc: CCM Kirumba, Mwanza Mei 18, 2024 Saa 9:30 alasiri

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement