Licha ya Cristiano Ronaldo (39) kuelekea mwishoni mwa Maisha yake ya kucheza Soka lakini bado katika suala la malipo yupo juu, akiongoza kuliko Wanamichezo wengine wote ndani ya Miezi 12 iliyopita akiwa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia aliyojiunga nayo Januari 2023. 

Ronaldo analipwa Dola Milioni 260 (Tsh. Bilioni 671.3) ambapo kati ya hizo, Dola 200 (Tsh. Bilioni 516.4) zinatokana na mshahara wa Klabu yake, na Dola Milioni 60 (Tsh. Bilioni 154.9) zinazopatikana nje ya mkataba wa klabu. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement