NBC CHAMPIONSHIP MZUNGUKO WA ISHIRINI NA NNE
Ratiba ya mechi za Ijumaa March 8,2024 katika muendelezo wa mechi za NBC Championship League
Utazishuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika Muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya kiswahili.