Hali ilivyo muda huu "Rock City" Mwanza kuelekea kwenye mchezo mkali wa NBC Championship League kati ya Copco FC dhidi ya Stand United Fc katika uwanja wa Nyamagana

Ratiba ya mechi za Leo Ijumaa January 26,2024 katika muendelezo wa mechi za mzunguko wa kumi na tisa (19) katika ligi ya NBC Championship

Copco Fc vs Stand United Fc

Saa 8:00 Mchana

CCM Kirumba Stadium - Mwanza

Live On - TV3

Utaishuhudia mechi hii mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz katika muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya Kiswahili

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement