Ratiba ya mechi za mzunguko wa ishirini na tano (25) siku ya leo Ijumaa, Machi 15 katika muendelezo wa mechi za ligi ya NBC Championship


Mbeya Kwanza Fc Vs Stand United Fc

Uwanja wa Nangwanda - Mtwara

Saa 8:00 mchana

Live on: tv3


Pamba Fc Vs Mbeya City Fc

Uwanja wa Nyamagana - Mwanza

Saa 10:00 jioni

Live on: tv3


Polisi Tanzania Fc Vs TMA STARS Fc

Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha

Live on: stbongo


Utazishuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika muonekano Ang'avu kwa lugha Adhimu ya Kiswahili

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement