Ratiba ya mechi za Ijumaa February 9,2024 katika muendelezo wa ligi ya NBC Championship

Pan Africans Fc vs KenGold Fc

Mabatini Stadium - Pwani

Saa 10:00 Jioni

Live On - Tv3


Transit Camp Fc vs Copco Fc

Jamhuri Stadium - Morogoro

Saa 10:00 Jioni

Live On - ST Bongo


Utazishuhudia mechi hizi mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 tz katika muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya kiswahili

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement