Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia akaunti yake ya Instagram amewaomba Watanzania kuwa wamoja katika mechi ya kesho Oktoba 20 Simba dhidi ya Al Ahly ya michuano mipya ya African Football League.

Mechi hiyo itapigwa Uwanja wa Mkapa saa 12:00 jioni, Mwigulu amesema moja ya kipaumbele kama Mtanzania ni kuiombea Simba.

"Tuwaombee Simba, tuwaombee Simba, tuandike historia ya Taifa letu,"

SIMBA Vs AL AHLY kwetu Watanzania ni jambo la KITAIFA.

EWE MTANZANIA MAOMBI YAKO KIPAUMBELE IWE HIVI

1) Tuiombee & Rais wetu

2) TUIOMBEE SIMBA, SIMBAAAAA

3) Tuombee familia na wagonjwa hospitalini

TUWAOMBEE SIMBA, TUWAOMBEE SIMBA, TUIANDIKE HISTORIA YA TAIFA LETU

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement