Bodi ya Ligi Kuu England imetegua kitendawili cha ratiba ya msimu mpya wa EPL leo Jumanne, Juni 18 2024, ambapo Manchester United itaanzia nyumbani Old Trafford kuikaribisha Fulham ikiwa ni mchezo wa kwanza wa ligi hiyo msimu wa 2024/25, utakaochezwa Agosti 16.

Mchezo unaovutia zaidi katika mzunguuko wa kwanza wa msimu mpya wa EPL utakuwa kati ya Chelsea itakayokuwa nyumbani Stamford Bridge kuwakaribisha mabingwa watetezi Manchester City, Jumapili Agosti 18.

Michezo mingine ya mzunguuko wa kwanza wa EPL 2024/25

Agosti 17

Ipswich Town Vs Liverpool

Arsenal Vs Wolverhampton Wanderers

Everton Vs Brighton and Hove Albion

Newcastle United Vs Southampton

Nottingham Forest Vs Bournemouth

West Ham United Vs Aston Villa

Agosti 18

Brentford Vs Crystal Palace

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement