Mshambuliaji wa Azam FC, Alassane Diao amefanyiwa upasuaji wa goti Jumatano, kufuatia majeraha yake ya anterior cruciate ligament (ACL).

Diao aliyefanyiwa upasuaji huo katika Hospitali ya Vincent Palloti, jijini Cape Town, Afrika Kusini, huku taarifa kutoka kwa madaktari zikisema atakuwa nje kwa kipindi cha miezi saba hadi tisa, kujiuguza.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement