"Kwa mazingira tuliyonayo hasa mechi yetu ya mwisho dhidi ya Green tunasema tulipoteza japo tulipata sare kwahiyo kesho dhidi ya Transit tunaamini tutarejesha furaha ya wanapamba, ". Moses William.

"Kuna wakuu wa mikoa wa mikoa mingine halafu kuna mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala kiukweli tangu amekuja Mkoa wa Mwanza kabadilisha vitu vingi hususani kwenye sekta ya michezo haswa kwa upande wa mpira wa miguu, tunamkuu wa Mkoa ambaye anajua ni ni anafanya, katika maendeleo ya Pamba Jiji yeye anahusika kwa asilimia kubwa, ". Moses William.

"Sidhani kama kuna mtu yupo pamba jiji anafurahia njia ya Play off tuliyopitia, lakini tumejifunza kuna nyimbo hatutaki kuzisikia kwa Sasa ikiweno Play Off, na kubwa zaidi ni kuwa Mabingwa wa NBC Championship na sio kingine, kuna namna Fulani tulipata play off na kwa Sasa hatuzifikirii Tena" Moses William, Afisa Habari Pamba Jiji Fc.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement