MOKWENA KOCHA ANAE LIPWA PESA NYINGI ZAIDI LIGI YA MOROCCO
Kocha msouth Africa bwana RHULAN MOKWENA amejiunga na mabingwa mara 4 kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kufukuzwa na waajiri wake wa zamani.
Timu ya WYDAD CASABLANCA kutokea Morocco ndiyo imempa kandarasi ya miaka mitatu na kwenye mshaharaa wake analipwa dollar 74 za kimarekani sawa na Zaidi ya million 170.
Kumbuka Kocha Rhulan Mokwena wakati yupo Mamelodi sundown alikua analipwa Rand 600000 sawa na million 84 za kitanzania.
Kufuatiwa kwenda huko Morocco sasa atakua analipwa Zaidi KULIKO makocha wote ligi ya Morocco.