Moine Chabaani Ajiuzulu Kuinoa Espérance De Tunis
Kocha mkuu wa Espérance De Tunis Moine Chaabani ameamua kujiuzulu katika nafasi yake baada ya kuiongoza timu yake kufuzu katika hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Barani Afrika.
Uongozi wa timu hiyo umekubaliana na uamuzi wake baada ya timu yake kuwa inapata matokeo lakini aina yake ya uchezaji haivutii.