Jonas Mkude Anaidai fidia Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter bila idhini yake.

Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akiidai fidia hiyo Kwa kuvunja haki yake ya msingi. Mkude amejiunga na Yanga msimu huu akitokea Simba aliyotumikia kwa misimu 12.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement