Kocha wa Mamelod sundown bwana RHULAN MOKWENA anadaiwa kuondoka katika klabu hiyoo mara baada ya maamuzi ya viongozi wa timu kuona kama hatoshi kuelekea msimu ujao 

Uongozii huo kupitia Mkurugenzi wa michezo bwana Flemming Berg ambae zamani alikua anafanya kazi Chelsea, FC Porto na Danish ambapo kwa sasa ndo Mkurugenzi wa michezo pale Mamelodi sundown amechukua maamuzi hayoo kulingana na kile kinacho daiwa kua ni uhaba wa mbinu za kocha huyo

RHULAN MOKWENA amekua kocha ambae ameipa mafanikio makubwa Mamelod sundown kama ubingwa wa ligi,lakini Nusu fainali ya Klabu bingwa Africa lakini kombe la AFL lakini pia alikua anaisaidia taifa la south Africa kwenye michuano ya afcon 

Kocha huyo pia alikua analipwa Rand 1000000 kwa mwaka ikiwa inakarbia na billion moja ya kitanzania, kocha huyoo hata kua sehemu ya kikosi 

Pia kuondoka kwake imemgusa mchezaji wa Mamelod sundown bwana Teboho Mokoena akimkingia kifua kocha Mokwena kua hakustahili kuondoka Mamelodi sundown.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement