Klabu ya Barcelona haijaruhusu goli lolote katika msimu huu kwenye mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya "UEFA" mpaka sasa kwa sababu ya msaada wa golikipa wao Marc-Andre ter Stegen.

Marc-Andre ter Stegen alifanya saves 6 za hatari kwenye mechi 2 za ugenini alizocheza dhidi ya Royal Antwerp pamoja na FC Porto.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement