Kocha wa Klabu ya Yanga Miguel Gamondi amekipongeza kikosi cha Ihefu FC kwa kiwango walichokionyesha katika mchezo wa Nusu Fianali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara na Yanga sc kufanikiwa kutinga Fainali ya Michuano hiyo ambapo watakutana na Azam FC.


Kocha Gamondi ameeleza kuwa wamekutana na ushindani wa hali ya juu kutoka kwa wapinzani wao huku akiwapongeza wachezaji wake kwa umakini waliouonyesha na kufanikiwa kufuzu hatua ya Fainali.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement