Micky van de Ven alirekodiwa kama beki wa kati mwenye kasi zaidi wakati akihudumu katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga 2022/23.

Micky van de Ven sasa ndiyo mchezaji mwenye kasi zaidi kwenye Ligi Kuu ya England

Kasi ya juu zaidi iliyorekodiwa katika mchezo wa ligi kuu ya England msimu huu:

▪️ 37.38 km/h - Micky van de Ven

▪️ 36.93 km/h - Chiedozie Ogbene

▪️ 36.86 km/h - Pedro Neto

Kyle Walker alikuwa mchezaji mwenye kasi zaidi msimu wa 2022/23, akitumia kasi ya kilomita 37.31 kwa saa.





You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement