Al Ahly ya Libya ikifanya bidii kufuzu katika Michuano ya Mpira wa Kikapu ya Afrika BAL na mjadala ni namna ilivyo muhimu kwa mashabiki wake. Wanajua itakuwa ni kupambana lakini kila mmoja atakumbuka kuwa Al Ahly Ly ni timu ya kwanza ya Libya kuweza kukidhi kuingia BAL.


City Oilers ya Uganda wanazungumzia uzoefu wao katika msimu uliopita wa Michuano ya Mpira wa Kikapu ya Afrika, BAL na hasa kile walichojifunza. Wanasema hawajaweza kufikia matarajio yao katika mashindano hayo.

City Oilers wanaendelea katika michuano bila ya ushindi mwaka 2024 katika kanda ya Nile baada kupoteza mchezo kwa kufungwa pointi 79-68 na timu ya Al Ahly Ly, Jumatatu.


kushindwa kwa timu ya Uganda kwa mara ya tatu katika awamu ya kundi la Nile, huku ikiwa imebakia michezo mitatu, Lakini mshambuliaji Robinson Opong anasisitiza hawawezi kukubali kushindwa na kujitoa katika michuano. ‘Lazima Tuendelee Kuwa na Matumaini. (BAL)

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement