Mcheza wa inter Miami na taifa la Argentina Lionel Messi Lapulga amekuja juu na kumjibu bwana mdogo Kylian Mbappe Machezaji mpya wa real Madrid na taifa la ufaransa kulingana na kauli aliyosema kua ligi ya mashindano ya kombe la ulaya MAARUFU kama EURO ni ngumu kuliko kombe la dunia

Sasa Lionel Messi ameibuka na kumjibu kwa hoja AKISEMA kua kombe la Dunia ndio shindano gumu kuliko mashindano yote kwa ngazi ya taifa 

Hoja hizo ni kama vile kombe la Dunia ndio kombe ambalo linakutanisha mabingwa wengi kama vile Brazil bingwa mara 5, Argentina mara 3 na Uruguay mara 2 sasa Messi akasema kua hawa wote hawashiriki hiyo anaamini kama wangekua wanashiriki hayo mataifa ya America kusini yangekua yanauwezo wa kuchukua UBINGWA 

Kumbuka wawili hawa walikua timu moja ya PSG lakini walikutana katika FAINALI za kombe la dunia mwaka 2022 pale Qatar na Lionel Messi alifanikiwa kubeba taji hilo la 3 kwa Argentina 

Kumbuka kombe la mataifa ya Euro linaanza ijumaa Lakini kombe la Copa America linaanza wiki ijayo

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement