Mechi Namba 159: Ruvu Shooting FC 1-4 Mbeya Kwanza FC

Meneja wa timu ya Ruvu Shooting, Mrisho Selemani na Afisa Usalama waklabu hiyo Mimo Rocky wamefungiwa miezi sita (6) na kutozwa faini yaSh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuwashambulia kwa matusiwaamuzi Pamoja na kamishna wa mchezo tajwa hapo juu.

Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 46:3 ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Viongozi.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement