MECHI ZA NBC CHAMPIONSHIP MZUNGUKO WA ISHIRINI NA MBILI
Ratiba ya mechi za Jumatano February 14,2024 katika mzunguko ishirini na mbili (22) katika muendelezo wa mechi za ligi ya NBC Championship League.
Green Warriors Fc vs Copco Fc
Saa 10:00 Jioni
Mabatini Stadium - Pwani
Transit Camp Fc vs Pamba Jiji Fc
Saa 10:00 Jioni
Jamhuri Stadium - Morogoro
Utazishuhudia mechi hizi mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika muonekano Ang’avu "HD" kwa lugha adhimu ya Kiswahili