Klabu ya Union Berlin inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani "Bundesliga" imepoteza mechi 9 mfululizo kwenye mashindano yote ambayo timu hiyo inashiriki.

X0-3 vs RB Ceipziş

X 2-1 vs Wolfsburg

X 1-0 vs Real Madrid

X0-2 vs Hoffenheim

X 1-0 vs Heindenheim

X 2-3 vs Braga

X 4-2 vs Dortmund

0-3 vs Stuttgart

X0-1 vs Napoli

Safu ya ulinzi ya Union Berlin imeruhusu jumla ya magoli 20 na safu ya ushambuliaji imefunga jumla ya magoli 5 pekee.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement