Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametoa kauli hiyo baada ya matokeo ya magoli 2-2 ya timu yake dhidi ya Manchester United katika Premier League, akielezea sababu za mchezo baina ya timu hizo huwa unakuwa mgumu kwake hata kama United haina kiwango kizuri kwa wakati huu

Rekodi za Liverpool ya Klopp dhidi ya Man United ikiwa chini ya Kocha Erik ten Hag zipo hivi:

FA Cup (Machi 17, 2024)
Man. United 4-3 Liverpool

EPL (Desemba 12, 2023)
Liverpool 0-0 Man. United

EPL (Machi 5, 2023)
Liverpool 7-0 Man. United

EPL (Agosti 22, 2022)
Man. United 2-1 Liverpool

Kirafiki (Julai 12, 2022)
Man United 4-0 Liverpool

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement