MAZOEZI YA SIMBA WAKIISUBIRI AL AHLY KESHO KWA MKAPA
Haya ni Mazoezi ya Klabu ya Simba wakijiweka tayari kuisubiri klabu ya Al Ahly kesho kwenye mchezo wa Ufunguzi wa Michuano Mipya ya African Footbal League
Tangu kumalizika kwa michuano ya Euro ambapo kapteni huyu wa Ufaransa na timu yake waliishia nusu fainali, Mbappe hajacheza mechi yoyote ya kimashindano.