Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Se anayeichezea Pyramids Fe ya Misri kwa sasa Fiston Mayele ameingia TOP 3 ya wanaowania tuzo ya Nchezaji bora wa ndani wa mwaka.

Mayele ameingia katika kipengele hicho baada ya kuwa na msimu mzuri na Yanga SC na kuifikisha fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika sambamba na kuibuka Mfungaji bora wa michuano hiyo.

Wengine wanaowania tuzo hiyo ni Nayele na Percy Tau wa Al Ahly pamoja na Peter Shalulile wa Mamelod Sundowns.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement