kampuni ya mercedes ipo kwenye mazungumzo ya kumchukua Max Varstappen wa Red bull ili kuchukua nafasi ya Lewis Himilton ambaye atajiunga na Ferrari mwishoni mwa msimu huu

Varstapen ameshinda mataji matatu mfululizo akiwa na Red bull kwanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2023 ikiwa ni histroia mpya ambayo amefanikiwa kuiandika kwenye mashindano ya Formula one akiwa na kampuni ya Red bull ambayo ilipotea kwenye ushindani kwa zaidia ya miaka mitano

kwa msimu huu Max Varstapen ameshinda mara mbili mfululizo kwenye mashindano ambayo yamefanyika Bahrain na Saudia arabia grand prix.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement