Yanga walionesha jinsi walivyo vizuri kutokana na mechi iliyopita dhidi ya CR Belouizdad katika mchezo wao wa mwisho ambapo walifunga mabao manne, hivyo mchezo wa kesho hautakuwa rahisi...

Tuna baadhi ya majeruhi ndani ya kikosi lakini wakati huo huo, tuna mbadala mzuri na sawa kwa kila mchezaji. Tunahitaji umakini kamili kabla ya kupata pointi tatu kesho..

Mashabiki wa klabu huwa wananiomba nishinde Ligi ya Mabingwa, na hili linahitaji juhudi kubwa, na wakati huo huo, linahitaji uwepo wa mashabiki.” Kocha mkuu Al Ahly Marcel Koller

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement