Makamu wa Kwanza wa Rais TFF, Athuman Nyamlani amempokea Rais wa FIFA Gianni Infantino ambaye atakuwepo kwenye mchezo wa ufunguzi wa African Football League Simba SC vs Al Ahly ya Misri utakaochezwa leo uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amethibitisha kwamba wamiliki wa klabu, Fenway Sports Group (FSG), wamelipa familia ya Diogo Jota kiasi kamili cha mkataba wake baada ya kifo cha mchezaji huyo mwanzoni mwa Julai.