Hizi ni Picha za Kikosi cha Walinda Mlango wa Wekundu wa Msimbazi SIMBA Wakiwa mazoezini Kuisubiri AL AHLY
Tangu kumalizika kwa michuano ya Euro ambapo kapteni huyu wa Ufaransa na timu yake waliishia nusu fainali, Mbappe hajacheza mechi yoyote ya kimashindano.
Fermin Lopez wa Barcelona alisawazisha katikati ya kipindi cha pili mjini Marseille baada ya kuuwahi mpira uliolegea kwenye eneo la hatari.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.