Manchester United wako tayari kupokea ofa ya kuwaauza wachezaji kadhaa akiwemo Raphael Varane na Casemiro mwezi Januari Man United wako tayari kusikiliza ofa kwa wachezaji wawili wenye uzoefu Varane na Casemiro pamoja na tadon Sancho,

kwa mujibu wa The Independent Sancho amefukuzwa klabuni hapo baada ya kutofautiana na Erik ten Hag, huku Varane akipoteza nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza Ten tag pia anataka kiungo mwenye wasifu tofauti na Casemiro Nia ya meneja huyo ya kupunguza kikosi chake inakuja kabla ya dirisha la Januari na huku kukiwa na ripoti kwamba amepoteza uungwaji mkono na baadhi ya wachezaji kwenye chumba cha kubadilishia nguo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement