Wababe wa Yanga Sc, Mamelodi Sundowns watolewa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-0 dhidi ya vigogo wa Tunisia, Esperance Tunis kwenye hatua ya nusu fainali.

FT: Mamelodi Sundowns 0-1 Esperance (Agg. 0-2)

⚽ Bouchniba 57'

Esperance watachuana na wababe wa Simba Sc, Al Ahly kwenye hatua ya fainali.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement