Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dokta Hussein Ali Mwinyi amemteua Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Haji kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).

Uteuzi huo umefanyika Alhamisi, Mei 9, 2024 ambapo kabla ya hapo Arafat alikuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC)

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement