Liverpool imebeba Carabao Cup 2023 kwa kuifunga Chelsea goli 1-0 huku goli likifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 118 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 90 za kawaida kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London


Hiyo ni mara ya 10 kwa Liverpool kubeba kombe hilo ikiendelea kuongoza kuwa timu iliyoshinda ubingwa huo huo mara nyingi ikifuatiwa na Manchester City (8) na Manchester United (6) ambayo pia ilibeba taji hilo msimu uliopita

Aidha, takwimu za jumla kati ya Liverpool dhidi ya Chelsea katika michezo 9 iliyopita baina ya timu hizo kwenye michuano yote, Liverpool imeshinda mara 2 na sare 7

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement