Saa 9:00 alasiri itafanyika droo ya robo fainali ambapo timu 8 zilizofuzu robo fainali zitafahamu timu ambazo watakutana nazo.

Utashuhudia mechi tukio hili mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz katika Muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya kiswahili.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement