ligi ya mpira wa kikapu Dar es salaam inakwenda kurejea weekend hii baada ya mzunguko wa kwanza na mapumzikoo mafupu kwa upande wa wanaume na wanawake. 

Ligi hii ya BDL iliweza kupisha kidogo ligi ya Mpira wa kikapu Tanzania maarufu kama TAIFA CUP ambayo imetamatika wiki iliyopita pale Dodoma kwani wachezaji wengi walienda kutumikia mikoa mbali mbali hivyo ligi ilikua lazima isimame kidogo

Sasa wakati ligi inasimama kwa upande wa Wanawake timu ya DB TRONCAT wao ndio walikua wanaongoza msimamo kwa kushinda michezo yote 15 na kua na points 30 

Lakini kwa upande wa wanaume TIMU ya DAR city ndio inaongoza kwa upande wa wanaume ikiwa na alama 29 baada na hawa ndio mabingwa watetezi 

Muhimu mashindano haya yanarudi huku timu nyingi zikiwa zimeimarisha vikosi vyao kwajili ya kuongeza ushindani mkubwa sana sana je, Maswali ni mengi nani ataenda kuchukua ubingwaa

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement