Mpaka sasa ndani ya Klabu ya Barcelona baada ya kutambulisha jersey za msimu huu masaa machache yaliyo pita bwana mdogo kinda wa miaka 17 LAMINE YAMAL NASROUI EBANA anaongoza kwa jezi yake kununuliwa Zaidi 

Mauzo hayo ya jersey ya LAMINE YAMAL NASROUI EBANA yamekuja baada ya bwana mdogo kubalishiwa namba mgongoni kutoka namba 27 hadi sasa namba 19

Namba 19 ni jersey ambayo alikua anavaa legend wa zamani Lionel Messi lakini kumbuka Messi alianza na namba 30 akaja 19 baadae namba 10

Kwahiyo mauzo yamekua makubwa baada ya kuvaa jezi hiyo namba 19 wakiamini kijana atakuja kufanya makubwa kama Messi alivyo Fanya 

Lakini jezi zingnee ambazo zimenunuliwa Zaidi ni namba 6 ya Gavi lakini pia namba 8 ya Pedri. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement