Bingwa mtetezi wa fainali ya Mataifa Afrika (Afcon 2023), Senegal imeanza vyema mashindano hayo baada ya kuichapa Gambia mabao 3-0 huku chipukizi wake Lamine Camara akifunga mabao mawili.

Bingwa mtetezi wa fainali ya Mataifa Afrika (Afcon 2023), Senegal imeanza vyema mashindano hayo baada ya kuichapa Gambia mabao 3-0 huku chipukizi wake Lamine Camara akifunga mabao mawili.

Hadi sasa Lamine ndiye kinara wa mabao Afcon akiwa nayo mawili na mchezo unaofuta kwa Senegal ni dhdi ya Cameroon katika uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro nchini Ivory Coast Januari 19 mwaka huu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement