Mchezaji wa real Madrid na taifa la ufaransa Kylian Mbappe ameomba benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu Didier Deschamp kuweza kucheza katika mchezo wa kesho dhidi ya uholanzi 

KYLIAN MBAPPE ameomba baada ya kujiona kua tayari ana utimamu wa kusakata kandanda kwenye mechi muhimu kweli kweli ambayo kama watashinda watafuzi moja moja kwenda hatua ya 16 bora, kumbuka uholanzi, Poland, ufaransa na Austria wapo kundi moja 

Mchezo huu kati ya uholanzi na ufaransa utapigwa SIKU ya ijumaa katika dimba la Leipzing stadium saa 4 kamili usiku na refaa atakua ni Antony Taylor kutoka England 

Mbappe ameona ni muhimu sana kuelekea mchezo huu aombe nafasi kulikombo taifa lake maana uholanzi ni TIMU bora na shindani kiwanjani kulingana na Wachezaji wengi wenye uzoefu Sanaa

Mbappe itamlazimu kuvaa Mask kwajili ya kulinda jeraha lake ambalo lilipelekea kuvunja pua yake kwenye Mchezo wao wa kwanza dhidi ya Austria

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement