Kocha Mkuu wa klabu ya Tx Galaxy inayo shiriki ligi kuu nchini Afrika kusini aitwaye Sead Ramovic mzaliwa wa jiji la Stuttgart pale Germany amezua taharuku baada ya kauli yake nzito aliyo taamka baada ya mchezo kutamatika kati ya Tx Galaxy na Mamelodi sundown.

Kauli hiyo ilitokana na mchezo huo kutamatika kwa sare ya bao moja kwa moja baada ya peter shalulile kusawazisha bao dakika ya 85 lililo fungwa na kijana Puso Dithejane dakika ya 78 ndipo akasema Mamelodi sundown ya Rulan Mokwena haiwezi kumfunga labda wakamsajili Messi,Neymar na Mbappe kwa pamoja bila hivyo ni ngumu lakini mchezo wa Kwanza Mamelod sundown walishinda mabao 3.

Kumbuka Mamelodi sundown amebakiza mchezo mmoja tu amalize bila kufungwaa(unbeaten) na msimu huu aungane na Bayern levakursen bila kufungwaa na Mchezo wa mwisho atamaliza nyumbani kwake dhidi ya cape town city wikendi hii.

Kufatio mchezo huo ulio pigwa siku ya jumanne pia kocha wa tx galaxy alisema kua amepambna na timu yenye thaman kubwa yenye wachezaji bora lakini wameshindwa kushinda pia mechi hiyo zilitokea vurugu baina ya kocha wa viungo wa Mamelod sundown na kocha mkuu wa tx galaxy Ramovic

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement