Inadaiwa kuna uwezekano wa Klabu ya Manchester United kumkosa Beki, Luke Shaw hadi mwishoni mwa Msimu wa 2023/24 kutokana na Majeraha ya Misuli ya Mguu

Shaw aliumia katika Mchezo uliopita dhidi ya Luton, ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa msimu huu beki huyo wa kushoto alikuwa nje kwa Miezi mitatu kutokana na majeraha ya Misuli ya paja

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement