Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka minne Tangu kutokea kifo cha Nguli wa mpira wa kikapu Nchini Marekani na Duniani kwa ujumla, Kobe Bryant.

Kobe alifariki januari 26 kwa ajali ya Helkopta binafsi ambayo ilianguka na kuwaka moto katika safu za milima ya Calabasas kusini mwa jiji la California ndipo ambapo ajali hiyo ilichukua uhai wa Binti yake, Gianna Maria – Onore Bryant ama wengi walipenda kumuita Gigionore.

Mbali na Kobe na Binti yake Gianna lakini watu wengine saba waliokuwa kwenye Helkopta hiyo walipoteza maisha ikiwa ni idadi ya watu tisa waliokuwemo kwenye hekkopta hiyo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement