Mara baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Jkt Tanzania Muendelezo Michuano ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Uongozi wa Klabu ya Yanga umeeleza kuwa hakukuwa na uharaka ya mchezo huo kuchezwa kutokana na hali ya Uwanja.


Kocha wa Yanga SC Miguel Gamondi amezungumza kuwa licha ya sare waliyoipata lakini Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo umekuwa na changamoto kutokana na hali ya mvua zinazoendelea kunyesha hali ambayo inaweza kuleta majeraha kwa wachezaji.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement