Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Hemed Morocco ameeleza kuwa ushindi walioupata katika mchezo wahatua ya Makundi kuwania kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia kwa nchi za Afrika utaendelea kuwapa nguvu wachezaji katika kuhakikisha wanapambaria malengo ya Taifa.

Kocha Morocco amezungumza mara baada ya mchezo huo uliopigwa Dimba la Levy wanawasa nchini Zambia na Taifa Stars kuibukana ushindi wa bao 1-0 kupitia kwa mchezaji Waziri Junior ambapo Kocha Morocco pia amemuelezea mchezaji huyo kwa jinsi ganialihakikisha anamtumia kwa manufaa.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement